Udahili kwa mwaka wa masomo ujao umefunguliwa — omba mtandaoni leo.Admission for the coming school year is open — apply online today. Omba SasaApply Now
+255764802276 +255764005098 +255692820024 +255767312742 marysprimaryschool@gmail.com

Sare na Mahitaji / Uniform & Requirements

Mahitaji ya Wanafunzi / What Each Pupil Brings

Darasa / ClassDaftari / Exercise booksVifaa vingine / Other items
Awali / NurseryDaftari za vyumba 2; daftari za mistari mikubwa na midogo 6; daftari plain (zisizo na mistari) 2Penseli 12, ufuto 1, leso 1, begi la shule (jeusi) imara
Darasa I & IIDaftari za vyumba 2; daftari za mistari mikubwa na midogo 6; daftari za kawaida 2Penseli 12 (HB box), ufuto 1, leso 1, rula 1, begi la shule (jeusi) imara
Darasa IIICounter books 9 (quire 2)Mkebe 1, rula 1, kalamu 2 (bluu au nyeusi), penseli 2, begi la shule (jeusi) imara
Darasa IV – VIICounter books 12 (quire 3)Mkebe 1, rula 1, kalamu 2 (bluu au nyeusi), penseli 2, begi la shule (jeusi) imara

Kumbuka: mwanafunzi aje na vifaa vyote; havipatikani shuleni.

Rimu mbili (2) za karatasi nyeupe hulipwa mwanzoni mwa mwaka (Darasa I – VII).

Sare za Shule — Awali / Nursery Uniform

Wasichana: gauni la draftiTZS 15,000
Wavulana: suruali ya draftiTZS 15,000
Shati green apple, mikono mifupiTZS 10,000
Sweta la kijani lenye nembo ya shuleTZS 15,000
Soksi za kijani zenye mistari meupe (jozi moja, zinapatikana shuleni)TZS 5,000
Track suitTZS 25,000
T-shirt nyeupeTZS 10,000

Wote huvaa soksi za kijani zenye mistari meupe na viatu vyeusi vya kamba.

Sare za Shule — Msingi / Primary Uniform

  • Wasichana: gauni la kijani, shati green apple mikono mirefu na sweta la kijani lenye nembo ya shule.
  • Wavulana: suruali ya kijani, shati green apple mikono mirefu na sweta la kijani.
  • Wote huvaa soksi za kijani zenye mistari meupe na viatu vyeusi vya kamba.
Sare kamili, jozi moja (shati, sweta, suruali/sketi na tai), inapatikana shuleniTZS 50,000
Soksi za kijani zenye mistari meupe (jozi moja)TZS 5,000
Track suitTZS 25,000
T-shirt nyeupeTZS 10,000

Jumla ya Malipo ya Sare / Uniform Totals

Msingi / PrimaryAwali / Nursery
Sare za shuleTZS 50,000TZS 40,000
T-shirtTZS 10,000TZS 10,000
Track suitTZS 25,000TZS 25,000
SoksiTZS 5,000TZS 5,000
Jumla / TotalTZS 90,000TZS 80,000

Malipo yote yafanyike kwenye akaunti ya benki ya shule — Mary's Pre & Primary School: CRDB 0150422112900 au NMB 62910004102. Fedha taslimu hazipokelewi shuleni wala kwa njia za mitandao ya simu. Malipo yakishafanyika, pesa hairudishwi.

← Rudi NyumbaniBack home
Wasiliana Nasi / Get in touch

Tuma Ujumbe / Send us a message

Una swali kuhusu udahili, ada au shughuli za shule? Jaza fomu na tutawasiliana nawe. / Have a question about admissions, fees or school life? We'll get back to you.

Anuani / Address
Itezi, Mbeya