Udahili kwa mwaka wa masomo ujao umefunguliwa — omba mtandaoni leo.Admission for the coming school year is open — apply online today. Omba SasaApply Now
+255764802276 +255764005098 +255692820024 +255767312742 marysprimaryschool@gmail.com

Mahitaji ya Bweni / Hostel Requirements

Mahitaji kwa Wanafunzi wa Bweni / Hostel Requirements 2026

#Mahitaji / ItemIdadi / Quantity
1Rimu nyeupe kwa mwaka (Darasa I – VII)2
2Sare za shule (uniform, track suit, T-shirt)2
3Soksi nyeupe (wasichana), soksi nyeusi (wavulana)Jozi 6
4Track suit bluu na nyeusi2
5Jaketi rangi nyeusi2
6Taulo1
7Sponji / dodoki1
8Leso4
9Chanuo / kitana1
10Mswaki pamoja na dawa2
11Sabuni ya kuogeaPcs 6
12Sabuni ya kufulia: unga na micheKg 3, miche 3
13Kiwi na brashi ya viatu1
14Mafuta ya kupakaKopo 2
15Viatu vyeusiJozi 2
16NdalaJozi 1
17Raba za michezoJozi 1
18Nguo za ndani (taiti, vesti, chupi)Pcs 6 kila moja
19Ndoo ya kuogea na kopo1
20Neti ya duara, bluu1
21Shuka za pinki na bluu2
22Mto na foronya, bluu na pinki2
23Blanketi1
24Daftari (counter books)Dazeni 1
25Kalamu za wino na penseli12
26Faili1
27Mkebe1
28Begi la daftari1
29Bima ya afya ni lazima — aje na kadi ya bima1
30Sanduku (tranka) la chuma, imara1
31Godoro la futi 2.51
32Pullneck nyeusi2
33Shamba dress (drafti), zinapatikana shuleniTZS 25,000 kwa seti

Kumbuka: vifaa vyote viandikwe majina yanayosomeka. Nguo ambazo hazijaorodheshwa haziruhusiwi eneo la shule.

← Rudi NyumbaniBack home
Wasiliana Nasi / Get in touch

Tuma Ujumbe / Send us a message

Una swali kuhusu udahili, ada au shughuli za shule? Jaza fomu na tutawasiliana nawe. / Have a question about admissions, fees or school life? We'll get back to you.

Anuani / Address
Itezi, Mbeya